Simba yatupwa nje

0
540

Klabu ya Simba imetolewa katika hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Mabigwa Barani Afrika, baada ya kutoka sare ya kufungana bao moja kwa moja na timu ya UD do Songo ya nchini Msumbiji.

Katika mchezo huo uliochezwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es salaam,
Simba imetupwa nje baada ya timu hiyo ya UD do Songo kupata faida ya bao la ugenini

Katika mchezo wa kwanza, timu hizo zilitoka suluhu ya bila kufungana, Simba ikiwa ugenini.