Liverpool yawanyuka Arsenal

0
521

Liverpool wamewanyuka Arsenal mabao matatu kwa moja kwenye mchezo uliopigwa kwenye dimba la Anfield.

Joel Matip na Mohamed Salah aliyepachika kimiani mabao mawili ndiyo wameipeleka timu yao kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo kwa kuifungia timu yao mabao muhimu huku Lucas Torreira  akiifungia Arsenal bao la kufutia machozi.