Sylvia Bebwa -Miss Tanzania 2019

0
1947

Mrembo Sylivia Sebatian Bebwa kutoka Kanda ya Ziwa, ameshinda taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2019, katika shindano lililofanyika jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia hii leo.

Mgeni rami Dkt Harrison Mwakyembe
Mgeni rami Dkt Harrison Mwakyembe na Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth

Jumla ya Warembo Ishirini wameshiriki katika shindano hilo, ambapo mgeni rami alikua Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe.

Mgeni rami Dkt Harrison Mwakyembe na washindi wa Miss Tanzania 2019 (Tano Bora)
Sylivia mshindi- Miss Tanzania 2019

Kufuatia ushindi huo, Sylivia mwenye umri wa miaka 19, ameibuka na zawadi ya kitita cha Shilingi Milioni Kumi.

Zawadi ya Miss Tanzania 2019

Sylivia ni Mhitimu wa Kidato cha Sita katika shule ya Sekondari ya Wasichana ya Waja, na kwa sasa anasoma kozi ya Kompyuta.

Jaji Miss Tanzania 2019
Jaji Miss Tanzania 2019
Jaji Miss Tanzania 2019
Jaji Miss Tanzania 2019
Jaji Miss Tanzania 2019
Kumi Bora Miss Tanzania 2019
Tano Bora Miss Tanzania 201
Washiriki wa Miss Tanzania 2019
Washiriki wa Miss Tanzania 2019