Balozi wa Rwanda Amuaga Spika Ndugai

0
1412
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura leo Agosti 20, 2019 amemtembelea Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.