Waziri Biteko awataka Watanzania kuwa wazalendo wa kweli

0
1324

Waziri wa Madini DOTTO BITEKO amezitaka Kampuni za ndani zinazojishughulisha na uchimbaji madini kuweka wazi ushirikiano wao na kampuni za nje kwa kusajili wizara ya madini.

Waziti BITEKO ameyasema hayo alipotembelea mgodi wenye mgogoro baina ya wananchi wa kijiji cha NDITI na kampuni ya NGWENA Limited inayofanya utafiti wa madini katika kijiji hicho ambapo amebaini kuwepo kwa kampuni nyingine inayoshirikiana na NGWENA bila kujulikana.