Tanzania yaitandika Kenya kwa Mikwaju ya Penati

0
267

Timu ya Taifa ya Tanzania imefuzu hatua inayofuata katika mbio za kufuzu michuano ya CHAN kwa kuitoa timu ya Taifa ya Kenya mikwaju ya penati 4 kwa 1 baada ya kutoka suluhu katika mechi zote mbili.

Hamisi Mwege na Evance Mhando nje ya uwanja wa Moi Kasarani

Timu ya TBC ilipiga kambi nchini Kenya ili kukuletea matangazo ya mchuano huo wa kufuzu kwa michuano ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN ikiongozwa na Mtangazaji mwandamizi Evance Mhando na mpiga picha Hamisi Mwege.