Kitaifa Mkurugenzi TPDC arudishwa Kazini By Judith Ene Laizer - July 23, 2019 0 178 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza wizara ya nishati kumrejesha kazini mara moja aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) Dkt. James Mataragio.