Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani SINGIDA…

0
325

Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Singida imefungua kesi mahakamani dhidi ya watumishi watatu wa halimashauri ya wilaya ya Singida wanaotuhumiwa kufanya ubadhirifu fedha zilizotengwa kwa ajili ya chanjo katika halimashauri.


Watumishi hao watatu wanatuhumiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya mamlaka pamoja na ubadhilifu wa zaidi ya shilingi milioni 14  zilizotengwa kwa ajili ya chanjo  na hivyo kusababisha serikali kupata hasara.


Mkuu huyo wa TAKUKURU amezitaja taasisi zinazoongoza kwa rushwa kuwa ni Halimashauri za wilaya ,Polisi na Mahakama  ambapo pia katika kipindi cha mizezi mitatu  imeweza kuokoa zaidi ya shiling milioni 40 kupitia uchunguzi uliofanywa na Takukuru kwenye taasisi mbalimbali za mkoa wa Singida.