Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa polisi Simon Maigwa amesema watu wawili raia wa SRI LANKA wamekamatwa na madini na mkazi mmoja wa Tunduru amekutwa na meno ya tembo yenye thamani ya shilingi milioni sitini na nane.