Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misiime amethibitisha kuwa ajali ya Treni Dodoma imetokea usiku wa kuamkia leo,iliyo sababishwa na Lori kugonga Treni na kujeruhi watu