TANESCO yatimiza ahadi kwa kuwakabidhi wabunifu wa umeme Mil.30

0
345

Shirika la Umeme Nchini Tanesco wamekabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni Thelathini kwa wabunifu wa kuzalisha umeme Rainel Ngailo na John Mwafute kutoka mkoani Njombe walizoahidi kwa Rais John Magufuli Ikulu Jijini Dsm.

Wakizungumza wakati wa kukabidhiwa fedha hizo wabunifu ha wametoa wito kwa wataalam mbalimbali nchini kuwa tayari kushirikaina na wabunifu waliopo maeneo ya vijijini ili kuweza kutatua changamoto za wananchi.