Rais John Magufuli akiondoka katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako nchini Namibia, baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya Kitaifa nchini humo na anaelekea nchini Zimbabwe kuanza ziara rasmi ya Kitaifa ya siku mbili kwa mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa wa nchi hiyo.