Taarifa ya Spika Ndugai

0
387

Taarifa ya Spika wa Bunge Job Ndugai la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, – Job Ndugai kwa Wabunge kuhusu Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika Stephen Masele, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).