MSIBA WA DKT.REGINALD MENGI

0
3247
Mwili wa Marehemu Dr. Mengi ukiingizwa kwenye ukumbi wa Karimjee leo hii.
Rais Dkt John Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma (kushoto), wamewasili katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji Joyce Mhavile (Katikati) na Mkurugenzi wa Masoko wa ITV/Radio One, Joyce Luhanga (kulia) wamefika katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa E-FM na ETV Francis Cizza na muigizaji Elizabeth Michael wamefika katika ukumbi wa Karimjee kumuaga Dkt Mengi.