Wakazi wa Dar es salaam wajitokeza kuupokea mwili wa Marehemu Dkt .Mengi

0
370

Idadi kubwa ya Wakazi wa DSM wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kushuhudia kuwasili kwa mwili wa Marehemu Dr. Mengi

Mwili wa Marehemu Dr.Mengi unatarajiwa kuagwa kesho katika Viwanja vya Karimjee jijini DSM kabla ya kusafirishwa siku ya Jumatano kwenda kwenye Mazishi yatakayofanyika katika Kijiji cha Mkuu Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro.