Wito wa Rais Magufuli kwa Wanafunzi

0
611

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya –  MUST na wengine wote nchini wametakiwa kuzingatia masomo yao na kuacha kujishughulisha na mambo yasiyo na faida katika maisha yao.