Kikao cha NEC chafanyika Dodoma

0
379

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais John  Magufuli  leo ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC).

Kikao hicho kimefanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma  na kuhudhuriwa na Wajumbe mbalimbali wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM.