Kamwe kamweee! Tusikubali

0
133

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya Watanzania kutokubali kumpa nafasi mtu au kikundi chochote cha watu ya kuwagawa kwa sababu yeyote ile.

“Kamwe kamweee!! msikubali mtu yoyote au kikundi cha watu kutugawa kwa kisingizio chochote kile, Tanzania ni moja na kamwe haitagawanyika,” amesema Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan

Alikuwa akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Masuujaa kwenye uwanja wa Mashujaa uliopo mji wa Serikali mkoani Dodoma.