Serikali kuendelea kuboresha huduma za afya

0
243

Rais John Magufuli amezindua kituo cha afya cha Madaba kilichopo mkoani Ruvuma, kilichojengwa kwa gharama ya takribani Shilingi Milioni  600 na kusema kuwa serikali itaendelea kuboresha huduma za afya katika maeneo mbalimbali nchini ili kuhakikisha Wananchi wanapata huduma bora za afya.