Picha : Kongamano la Mapambano dhidi ya rushwa Afrika

0
123

Viongozi wa Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene (aliyekaa katikati), katika kongamano la Mapambano dhidi ya Rushwa linalofanyika jijini Arusha.

Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa Barani Afrika ni Julai 11, 2023 na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan.