ZIARA YA WAZIRI MKUU MTWARA

0
102

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaendelea na ziara yake mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine, Leo ameweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la utawala la halmashauri ya wilaya ya Mtwara – Mkunwa, amekagua ujenzi wa kituo cha afya Mkunwa na
amezungumza na Wananchi wa halmashauri ya mji Nanguruwe.