Takukuru Yatoa Huduma Sabasaba

0
130

Katika maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba yanayoendelea mkoani Dar es Salaam, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) ina banda lake ambapo Maafisa wa taasiai hiyo wanatoa huduma na elimu kwa Wananchi kuhusu shughuli zinazofanywa na taasisi hiyo.

Pia Wananchi mbalimbali wanatoa malalamiko yao kuhusu vitendo vya rushwa na uhalifu mwingine wa kijinai.