BUNGE LAAHIRISHWA HADI AGOSTI 29

0
141

Bunge la Tanzania limeahirishwa hadi Agosti 29 mwaka huu, ambapo shughuli kuwa ya mkutano wa 11 ilikuwa kujadili ya kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/24.

Aidha, katika mkutano wa 11 wa bunge jumla ya maswali 761 ya msingi na mengine 2,540 ya nyongeza yaliulizwa na Wabunge na kujibiwa na Serikali.

Pia, jumla ya maswali 17 ya papo kwa papo yalielekezwa kwa Waziri Mkuu na
kujibiwa.