Gesi asilia hupunguza athari za Hewa Ukaa

0
350

“Matumizi ya gesi asilia katika usafirishaji yatasaida katika kupunguza athari za hewa ukaa inayozalishwa na magari”.Dmitry Khandoga, Afisa Mtendaji mkuu GAZPROM Afrika – Mauzo ya nje

Dmitry amesema hayo nchini Afrika Kusini katika mkutano maalum ulioandaliwa na Chemba ya Nishati barani Afrika, mkutano unaolenga kuangazia faida za gesi asilia kwa jamii na uchumi.