Majina ya zamani ya Falme za Wasukuma

0
248

Je wajua? Baadhi ya majina ya maeneo mbalimbali ya kabila la Wasukuma unayoyajua sasa, yaliitwa tofauti hapo nyuma?

Mchoro uoneshao Falme za Wasukuma unaonesha pia majina ya asili ya baadhi ya maeneo.

Ukerewe – Bukerebe
Nyegezi – Negeji
Sengerema – Karumo
Pasiansi – Bupandansi
Mwanza – Ng’wanza (Nyanza)

Eneo gani lingine limebadilishwa jina?