Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ataka miradi imara yenye ubora unaostahili

0
501

Makamu wa Rais wa Tanzania Mama SAMIA SULUHU amewataka wakimbiza mbio mwenge kitaifa mwaka huu kuhakikisha kuwa miradi yote watakayoizindua katika mbio za Mwenge iwe katika ubora unaostahili

Mama Samia ameyasema hayo wakati akizindua mbio za mwenge kitaifa mwaka 2019 mkoani Songwe