Miradi yaTrilioni 3 kupitiwa na Mwenge Kibaha

0
177

Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake katika wilaya ya Kibaha mkoani Pwani ambapo pamoja na mambo mengine utakagua miradi 26 yenye thamani ya shilingi
Trilioni 3.1.

Akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka wilayani Bagamoyo, mkuu wa wilaya ya Kibaha, Nickson Saimon amesema, ukiwa wilayani humo utakimbizwa kwa muda wa siku mbili.

Amesema katka siku ya kwanza utakimbizwa katika halmashuri ya Kibaha Vijijini na utakagua miradi 14.