Eid jumamosi

0
142

Mufti wa Tanzania
Sheikh Abubakar Zubeir amesema Mwezi haujaonekana, hivyo kesho Waumini wa dini ya Kiislamu nchini wanaendelea kufunga Ramadhani kukamilisha siku 30.

Amesema,
Sikukuu ya Eid El- Fitri Itakuwa tarehe 22 na 23 mwezi huu.