Wanawake walio katika umri wa kuzaa

0
145

Asilimia 47.3 ya Wanawake wote nchini Tanzania wapo katika umri wa kuzaa ambao ni kuanzia miaka 15 hadi 49.

Kwa Tanzania Bara, asilimia 47.2 ya Wanawake wapo katika umri wa kuzaa wakati Tanzania Zanzibar zaidi ya nusu ambayo ni asilimia 50.4 ya Wanawake wote wapo kwenye umri huo.

Takwimu hizo ni kwa mujibu wa matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwezi Agosti mwaka 2022.