Kimataifa Nimrod Mkono afariki dunia By TBC - April 18, 2023 0 223 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara na Wakili maarufu nchini Nimrod Mkono amefariki dunia hii leo. Mdogo wa Marehemu Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha kaka yakemapema hii leo nchini Marekani.