Kitaifa Rais atengua uteuzi wa DED By Emmanuel Mmmasie - April 18, 2023 0 187 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia Aprili 16, 2023.