Kinana na Balozi wa Urusi, Misri

0
171

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na na Balozi wa Urusi nchini Andrey Avetisyan katika ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dar es Salaam.

Kinana pia amekutana na kufanya mazungumz na Balozi wa Morocco nchini Zakaria El Goumiri.

Mazungumzo ya Kinana na Balozi huyo wa Morocco nchini nayo yamefanyika
katika ofisi ndogo ya CCM, Dar es Salaam.