Sixtus Mapunda DC Sumbawanga

0
159
Sixtus Mapunda

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sixtus Mapunda kuwa mkuu wa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa.

Mapunda anachukua nafasi ya Jane Nyamsenda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema, uteuzi wa Sixtus Mapunda unaanza mara moja.