Maalim Seif apokelewa rasmi ACT Wazalendo

0
491

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) na baadaye kuhamia Chama Cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amepokelewa rasmi kwenye chama hicho hii leo na kusema kuwa kwa sasa hawezi kusema kuwa atawania nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao au la.