Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakutana Mwanza

0
479

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua mkutano wa 15 wa Maafisa Mawasiliano wa Serikali unaofanyika jijini Mwanza na kuwataka maafisa hao kutoa habari nyingi kadri wawezavyo na kwa mujibu wa sheria.