Hakuna haki hakuna usawa

0
195

“Sehemu ambayo hakuna haki hakuna usawa kwa sababu kuna watu wanapendelewa na kuna watu hawapendelewi. Haki imetoweka, kukiwa na haki kunakuwa na usawa na tukiwa na haki tukapata usawa ule usawa unazaa amani. Kwa hiyo haki usawa na amani vinakwenda pamoja, kimoja kikiyumba hapa kila kitu kimeharibika.”

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro