“Sheria ya ardhi namba nne ya mwaka 1995 haijambagua mtu yoyote. Sheria ya ardhi ya vijiji namba tano ya mwaka 1995 haijambagua mtu yeyote, sasa wewe unayetuletea mila zinazobagua hizo umezitoa wapi? Hizi mila zinakuwa na nguvu kuliko katiba na sheria? Nakwenda kujikita kwenye eneo hilo”
Waziri wa Katiba na Sheria , Dkt. Damas Ndumbaro