Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Ephraim Mafuru kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha(AICC).
Kabla ya uteuzi huo Mafuru alikuwa Mkuu wa masuala ya Biashara katika kiwanda cha Sukari cha Kilombero, Morogoro.
Uteuzi huo umeanza Februari 8, 2023.