Ziara ya DC Haniu Rungwe

0
236

Mkuu wa wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Jaffar Haniu akiwa ameongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya hiyo, amefanya ziara katika hospitali ya wilaya Tukuyu na kujionea shughuli za utoaji huduma na kuzungumza na wagonjwa.