Serengeti Boys watakiwa kuongeza umakini

0
461

Kocha wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 (Serengeti Boys), – Oscar Mirambo amesema kuwa wachezaji wake wamepata mafunzo ya kutosha kwenye mashindano ya Uturuki, ingawa hawakufanya vizuri na hivyo kupoteza michezo miwili na kushinda mchezo mmoja tu.