Maelezo yasomeke kwa DPP

0
128

“Katika matumizi ya TEHAMA na ubunifu tupo kiasi gani kwenye karne hii ya 21, vyombo vyetu vya kusimamia haki inatakiwa akikamatwa mtu akitoa maelezo yake polisi yasomeke paka kwa DPP aweze kuyaona na kuyasoma, polisi asipate muda wa kuyabadilisha.”

Rais, Samia Suluhu Hassan