Nilikuwa naogopa kwenda Polisi

0
142

“Raia wanazionaje hizi taasisi kwa mfano mimi mwenyewe ukiniambia kuingia mahakamani kama sio kwa kazi naogoa tu lile jengo la mahakama au polisi hata kama nina jambo nalokwenda kulishtaki mimi nilikuwa naogopa huko nyuma kwenda polisi kushtaki kuwa nimefikwa na hili.”

Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan