Shilingi Milioni 700 kukarabati uwanja wa Uhuru

0
427

Serikali itatumia zaidi ya Shilingi Milioni Mia Saba kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es salaam, kabla ya kuanza kwa michuano ya AFCON ya vijana ili uweze kutumika kwa michuano hiyo, na lengo ni kuufanya uwanja huo uweze kuwa na ubora wa Kimataifa.