Dkt. Samia ahutubia mkutano wa AfCFTA

0
118

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya viongozi wakuu wa nchi za Afrika katika mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), unaofanyika Davos nchini Uswisi.

Dkt. Samia amesisitiza kuimarishwa kwa ushirikiano na wadau mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi changamoto za uwekezaji ili nchi za Afrika ziendelee kuzalisha kwa tija.