Samia ateta na Ruto

0
410

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Rais wa Kenya, -William Ruto kando ya mkutano wa Africa Now Summit 2019 unaofanyika Kampala nchini Uganda na kusema kuwa Tanzania na Kenya ni majirani,  hivyo lazima nchi hizo zihakikishe uhusiano wao unakua imara.