Dkt Mpango awasili Pemba

0
120

Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo tarehe 09 Januari 2023. Makamu wa Rais amewasili Kisiwani Pemba kuongoza shughuli za ufunguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.