Michezo Tovuti ya Al-Nassr yazidiwa By Clement Silla - January 5, 2023 0 139 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Baada ya Cristiano Ronaldo kutambulishwa katika klabu ya Al-Nassr idadi ya watembeleaji wa tovuti ya klabu hiyo iliongezeka kwa kasi na kupelekea mtandao huo kuzidiwa na kuzima kwa muda.