“Kwa upande wa tafiti zingine yanapotolewa matokeo yake huwa ndio mwisho wa tafiti hiyo, ila kwa tafiti hii ya Sensa ya watu na makazi maswali 100 yaliyoulizwa ndio sasa yanaendela kuchakatwa ambapo matokeo hayo yatachambuliwa ili kufahamu hadi ngazi ya kitongoji kinafanana vipi, ambapo kwa sasa imefikia ngazi ya mkoa.”- Anne Makinda, Kamisaa wa Sensa 2022