Mchezaji yupi wa Afrika aliyekuvutia zaidi?

0
128

Ikiwa ni siku 11 tangu Kombe la Dunia limalizike nchini Qatar, mchezaji mmoja mmoja kutoka Afrika walionesha viwango vya juu katika michezo mbalimbali.

Kati ya timu tano zilizoshiriki mashindano hayo kutoka Afrika, ni mchezaji gani alikuvutia zaidi kutokana na kiwango alichoonesha?