Yanga yawamendea nyota wawili wa Azam FC

0
110

Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga SC wameiandikia barua ya kuiomba kuwasajili James Akaminko na Kipre Junior kutoka Azam FC katika dirisha dogo la usajili.

Katika barua hiyo, Yanga SC imetaka kunasa saini za nyota hao wa Azam wakiamini watakuwa msaada mkubwa kwa timu hiyo ili kujihakikishia ushindani kwa timu pinzani za ndani na nje ya nchi.